Sunday, January 7, 2024

Heri ya Mwaka Mpya Itapatikana Ukifanya Jambo Moja

Kuipatia Dunia Kunalipa Kuliko Kuidai Dunia” ~ CYPRIDION MUSHONGI


Mwaka 2023 ulikuwa mwaka wa KUIDAI DUNIA kila kitu tulichokipenda. Hali hii imetokana na ukweli kwamba, kila binadamu anahakikisha anakuwa na maisha yenye Faraja – yaani maisha yenye kumpatia kila kitu anachohitaji.

Uhitaji wa maisha ya faraja, unaongozwa zaidi na matamanio au tamaa za kibinadamu, ambazo hazina ukomo. Tabia hii ya kupenda faraja, humfanya mtu..

Wednesday, March 1, 2023

UZIO WA MJI NANI ANAFUNGUA LANGO LAKE?

“Mahitaji ya lazima ni machache lakini vitu tunavyovitaka havina kikomo” ~ Cypridion Mushongi


Wengi tunafahamu nyumba nyingi zina uzio wa aina fulani na tumezoea kuona walinzi wakikaa langoni kwa lengo la kulinda usalama wa watu na mali. Anayekaa LANGONI ndiye anayeruhusu watu na vitu kuingia na kutoka.

Ukweli ni kwamba“Mji ni..

Tuesday, January 31, 2023

Elimu Rasmi Inatosheleza AJIRA Siyo KAZI ni Kweli?

“Kujiajiri na kuajiriwa yote ni AJIRA siyo KAZI”~ Cypridion Mushongi.


Kuna jitihada nyingi za kukuza elimu rasimi zinazowekwa na serikali pamoja na wadau wa maendeleo. 

Malengo hasa ni kuona watu wengi katika taifa wakipata elimu rasmi kwa matarajio ya..

Monday, January 16, 2023

Ujanja! Unajisikiaje Kuitwa Mjanja?

 

Siku Rahisi Kuishi bila Ujanja Zimeisha” ~ Cypridion Mushongi





Hapa kwetu Tanzania neno Ujanjamara nyingi linatafsiriwa Zaidi kuwa ni ulaghai, uhuni au udanganyifu. Ni kawaida sana kusikia mtu akimsema mwenzake kuwa “yule bwana ni mjanja mjanja usimuamini!

Watu wengi hawapendi kuitwa wajanja; eti kwasababu itaonekana kwamba wao siyo waaminifu machoni mwa umma.

Kwa taarifa yako Ujanja ni..

Sunday, January 8, 2023

Mpenzi wa Kutiwa Moyo Kuna Ujumbe Wako wa Mwaka Mpya



"Roho ya kujitegemea ni kinga dhidi ya wakatisha tamaa" ~ Cypridion Mushongi



Wakati huu tunapoanza mwaka mpya wa 2023, tukumbuke kuwa dunia ya sasa ina watu wengi wanaotukatisha tamaa kuliko wanaotutia moyo. Yawezekana wewe ni..