“Mtu anayeuza hisa ni sawa na mtu anayeuza kuku wakati anapenda mayai” ~ Cypridion MushongiNeno "hisa" limekuwa maarufu sana miongoni mwa watanzania. Umaarufu wa neno hili umekua kutokana na kuenea kwa taasisi za VICOBA na SACCOS maeneo yote nchini yaani mijini na vijijini. Pamoja na watu wengi kuanza kushiriki zoezi la kununua na kumiliki hisa katika hatua mbalimbali, bado wengi wanakiri kuwa uelewa wao juu ya..
MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
Saturday, December 30, 2017
Unaposikia Uwekezaji Katika Hisa Unapata Picha Gani?
Subscribe to:
Posts (Atom)