MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
Mahitaji ya binadamu ni mengi sana na hayana kikomo. Mahitaji haya yamegawanyika katika makundi makuu mawili yaani “Vitu/Bidhaa” na “Huduma”. Pamoja na mahitaji mengi ya binadamu, mtu mmoja mmoja hawezi kuzalisha na kujitoshereza kwa kila kitu. Ndiyo maana binadamu wengi uendesha maisha yao kwa