“Sababu ya watu wengi kuendelea kubaki wadogo kibiashara na kimaisha ni kwamba kila wakati wao utatua matatizo yale tu wanayoweza peke yao” ~ Cypridion Mushongi.
Neno “mjasiriamali” ni miongoni mwa maneno yanayotamkwa sana kila siku, hapa Tanzania. Kwa hali iliyopo hivi sasa, ni kana kwamba wajasiriamali ni wengi sana Tanzania. Sababu ya kudhani kwamba kuna wajasiriamali wengi ni..