“Mahitaji ya lazima ni machache lakini vitu tunavyovitaka havina kikomo” ~ Cypridion Mushongi
Wengi tunafahamu nyumba nyingi zina uzio wa aina fulani na tumezoea kuona walinzi wakikaa langoni kwa lengo la kulinda usalama wa watu na mali. Anayekaa LANGONI ndiye anayeruhusu watu na vitu kuingia na kutoka.Ukweli ni kwamba“Mji ni..
MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
Wednesday, March 1, 2023
UZIO WA MJI NANI ANAFUNGUA LANGO LAKE?
Tuesday, January 31, 2023
Elimu Rasmi Inatosheleza AJIRA Siyo KAZI ni Kweli?
“Kujiajiri na kuajiriwa yote ni AJIRA siyo KAZI”~ Cypridion Mushongi.
Kuna jitihada nyingi za kukuza elimu rasimi zinazowekwa na serikali pamoja na wadau wa maendeleo.
Malengo hasa ni kuona watu wengi katika taifa wakipata elimu rasmi kwa matarajio ya..
Monday, January 16, 2023
Ujanja! Unajisikiaje Kuitwa Mjanja?
“Siku Rahisi Kuishi bila Ujanja Zimeisha” ~ Cypridion Mushongi
Hapa kwetu Tanzania neno “Ujanja” mara nyingi linatafsiriwa Zaidi kuwa ni ulaghai, uhuni au udanganyifu. Ni kawaida sana kusikia mtu akimsema mwenzake kuwa “yule bwana ni mjanja mjanja” usimuamini!
Watu wengi hawapendi kuitwa wajanja; eti kwasababu itaonekana kwamba wao siyo waaminifu machoni mwa umma.
Kwa taarifa yako “Ujanja” ni..
Sunday, January 8, 2023
Mpenzi wa Kutiwa Moyo Kuna Ujumbe Wako wa Mwaka Mpya
"Roho ya kujitegemea ni kinga dhidi ya wakatisha tamaa" ~ Cypridion Mushongi
Wakati huu tunapoanza mwaka mpya wa 2023, tukumbuke kuwa dunia ya sasa ina watu wengi wanaotukatisha tamaa kuliko wanaotutia moyo. Yawezekana wewe ni..
Subscribe to:
Posts (Atom)