Monday, June 29, 2020

Imani Yako Kuhusu Mipango ni Ipi?



Watu waliowengi ni kawaida kusikia wakisema jipe IMANI Mungu atakusaidia ufanikiwe au bora imani tu! utafanikiwa. 

Pengine hali hii inatokana na msukumo ambao wamekuwa wakiupata kutoka kwa viongozi wa dini, ambao mara zote wamesisitiza waumini wao kuwa na IMANI; lakini..

Wednesday, June 17, 2020

Kama Biashara Yako Haikupi FAIDA Fanya Hivi

"Kufungamanisha Furaha Yako na KUTOA ni Bora Kuliko Kufungamanisha na KUPATA" - Cypridion Mushongi


Watu walio wengi wakipata faida wanafurahi sana, hii ni kutokana na ukweli kwamba jamii yetu kwasasa imejenga tabia ya kwamba maisha ni..

Saturday, June 13, 2020

Monday, October 8, 2018

Sunday, September 9, 2018

Umezaliwa Leo Kama Mimi Unahitaji Kuingia Hapa “Kujaribu House”

HAPPY BIRTH DAY TO ME

"Ukijaribu na Kushindwa Mara Nyingi Sana Kinachobaki ni Kufanikiwa" ~ Cypridion Mushongi
Leo (09/09/2018) ni siku yangu ya kuzaliwa. Siku hii ni muhimu sana kwangu kutokana na ukweli kwamba inanipa fursa ya kujitathimini mwenendo wa maisha yangu na familia yangu LAKINI pia napata kutathimini mchango wangu kwenye jamii. Tangu mwaka 2016 nilianza utaratibu wa kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa kwa kuandika makala maalumu kuhusu mambo mbalimbali. 

Mwaka 2016 tarehe kama ya leo, niliandika juu ya tofauti ya KUKUA na..