MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
Tuesday, August 11, 2020
Tuesday, July 28, 2020
Faida ya Kufanyakazi Bure ni Hii Hapa
“Tembo pamoja na kuwa myama mkubwa hang’ati LAKINI mbu anang’ata”~ Darren Hardy
Unaanzaje kufanyakazi bure bila malipo yoyote?; katika hali ya sasa ambayo watu wengi tayali ni waumini wa mfumo wa pesa taslim au mfumo wa nipe nikupe. Hivi sasa watu wengi wanajitahidi kufanya vitu vitakavyowaletea pesa haraka (chapuchapu). Kiashiria mojawapo cha watu kupenda malipo ya chapuchapu ni
Monday, July 20, 2020
Motisha wa Kazi nani Anapaswa Kutoa?
Monday, July 13, 2020
Muda ni Wako Unaumiliki au Unakumiliki?
“Kuna jia nne za kutumia muda wako: Kuwaza, mazungumzo, kutenda na usumbufu”- Chagua kwa busara
Nimesikia mara nyingi sana watu wakilalamika kuwa hawana muda. Kupitia malalamiko haya, nimejikuta nikijiuliza maswali mengi kama haya;”kwamba muda huwa unatoka wapi? Nani huwa anagawa muda? Nani ni mmiliki wa muda? Je mimi ndiye mmiliki wa muda? Au muda unanimiliki mimi.
Katika kutafakari maswali yote haya nimegundua kwamba...
Tuesday, July 7, 2020
Mjasiriamali ANAYEKOSA FARAJA Ananufaika Namna Hii
“Kipimo kizuri cha binadamu siyo mahali aliposimamia wakati wa FARAJA, bali pale anaposimamia wakati wa changamoto na ubishani”- Martin Luther King Jr.
Mpendwa msomaji wa MAARIFASHOP napenda nianze kwa kusimulia jinsi nilivyokosa FARAJA kwa kuandika makala hii:
Subscribe to:
Posts (Atom)




