“Kila kitu kipya ambacho unaweza kufikiri ni HALISI hata kama hakijawahi kuwepo” ~ Pablo Picasso ~
Uzoefu ni elimu au uelewa fulani ambao mtu anakuwanao kutokana na kufanya kazi mbalimbali lakini mara nyingi ni.....
MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
“Kila kitu kipya ambacho unaweza kufikiri ni HALISI hata kama hakijawahi kuwepo” ~ Pablo Picasso ~
“Uhuru wa kipato upo kwa wale tu waliotayari kujifunza na kufanya kazi” ~ Robert Kiyosaki
Watu wengi wanatafuta utajiri kwa hudi na uvumba, japo wengine wachache wanapata na waliowengi wanakosa na kukata tamaa. Jambo ambalo ni dhairi kabisa ni kwamba, watu wengi tunaanza safari ya kutafuta utajiri katika hatua au vituo tofauti tofauti. Kwahiyo, swali la kujiuliza ni je? Safari yetu ya kutafuta “Utajiri” inapaswa kuanzia...
Ukibahatika kupata na kusoma kitabu cha “Are you fully charged?” Utajifunza mambo makubwa sana ambayo yatarahisisha kazi yako ya kusaka mafanikio makubwa. “Nachukulia kukataliwa kama mtu anayejaribu kupigia tarumbeta kwenye masikio yangu ili kuniamsha niendelee na safari badala ya kurudi nyuma”~ Sylvester Stallone ~

“Mtu yeyote ambaye hajawahi kufanya makosa, ni yule ambaye hajawahi kujaribu kitu chochote kipya” ~ Albert Einstein ~
Mpendwa msomaji wa MAARIFA SHOP ni kwamba kuna kitu kama muujiza karibu kwenye kila kosa lifanyikalo katika maisha yetu ya kila siku. Na muujiza huu unaitwa....“Wakati wa kuvunja mfumo wa tabia zote zinazokuzuia kufanikiwa ni sasa hivi”

"Imetosha kusherekea 2016 – Twende Kazini!!"
