MAARIFASHOP ni mtandao unaokupa maarifa mengi ya kukuwezesha kushinda changamoto nyingi za kiuchumi na maisha kwa ujumla. Kumbuka maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa"
Wednesday, May 26, 2021
Kazi ya Kuzalisha Mali ni ya Nani?
Kazi mojawapo ambayo tumekuja duniani kuifanya ni kuzalisha mali. Hii ni kazi muhimu sana ambayo inatakiwa kufanywa na kila mtu aliyefikia umri wa kujitegemea. Jambo la ajabu ni kwamba kazi hii wengi wanaikwepa, hasa wale tuliokaa darasani miaka mingi. Sababu za kukwepa jukumu hili ziko nyingi; moja ni..
Thursday, May 6, 2021
Roho ya Kujitegemea Iko Wapi? Itafutwe kwa Hali na Mali.
“Haikugharimu chochote kujiunga na wengi, inakugharimu kila kitu kusimama peke yako” ~ CYPRIDION MUSHONGI
Katika hali ya kibinadamu watu wote tunataka maisha mazuri. Maisha mazuri ni hali fulani ya kuishi, ambapo mtu binafsi anakidhi mahitaji yake na kuridhika na hiyo hali. Lakini, ukweli ni kwamba hali ya Maisha tunayoishi kwa kiasi kikubwa ni..
Saturday, May 1, 2021
KAZI Inaleta AJIRA na AJIRA Inamaliza KAZI ni Kweli?
"KAZI uzaa ajira lakini AJIRA haiwezi kuzaa kazi" ~ CYPRIDION MUSHONGI

Mpaka sasa ajira bado ni tatizo kubwa kwa watu wengi hasa vijana nchini Tanzania na kwingineko duniani. Kukosekana kwa ajira kwa sehemu kubwa kunachangiwa na wadau wengi wa maendeleo kushindwa kubaini chimbuko halisi la ajira. Hali hii inafanya mikakati mingi ya kuongeza ajira kutofanikiwa. Wapo wngine wanaodhani suruhisho la ajira ni...
Thursday, December 31, 2020
Mwaka 2020 Unaisha leo Mwaka Mpya 2021 ni Kesho Unajisikiaje?
"Pale unapohisi ni mwisho mara nyingi ndio mwanzo wa kitu kipya" ~ CYPRIDION MUSHONGI

Napenda kutoa shukrani zangu kwako, hii ni kutokana na ukweli kwamba wewe binafsi umekuwa pamoja na mimi na MAARIFSHOP kwa ujumla. Hakika tumekua na kuishi kwenye jumuia moja kama siyo kabila moja linaloitwa..
Sunday, October 11, 2020
BIBLIA TAKATIFU-WEWE UNAPENDELEA KUSOMA VIFUNGU GANI JUU YA PESA?
“Chanzo cha maovu duniani siyo pesa bali kukosa pesa mfukoni” ~ Cypridion Mushongi
Upatikanaji wa pesa kwa mtu yeyote unategemea sana imani na mtazamo wa mtu juu ya pesa.
Linapofika suala la pesa, watu tunagawanyika katika makundi makuu matatu; ambayo ni..
Subscribe to:
Posts (Atom)


